Alikiba Mapenzi Run Dunia Скачать

Alikiba Mapenzi Run Dunia

Alikiba

Mapenzi Run Dunia

16 прослушиваний
04:35
Все треки Alikiba Текст песни
Слушать
Скачать песню

Текст песни «Mapenzi Run Dunia»

Alikiba

Sikatai yule muonyesha wivu ndiye mwenye mapenzi ya kweli kwa mwenza
Lakini pia uvumilivu na vitendo vya karaha vilimuumiza
Mwenzio mimi ni mtulivu na kuiba mali ya mtu sijafunzwa
Ona dhambi lawama ulonipa mimi leo inaniuma eh
Fikira ziko vibaya za kudhani ya kwamba yule demu nilimpenda
Ni kweli nilimpenda, lakini ni kama rafiki wa kima
Haya uliyofanya leo, ikifika kesho utajibu nini kiama
Kwa yale yote mapendo ni kama kioo aliyokupa niliyaona
Ukadhani anakusaliti kutoka kwako na kuwa mimi naye (mimi na yeye)

Kutokana na wako wivu ukadariki kumuacha ajiue
Kwanini why, unatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa
Najua mwanamke akipenda, huwa... kapenda kweli

Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)

Mapenzi yana-run dunia (sorry)
Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run duniaaaa (it's all right)

Feel free to love
Feel free to love

Wajua kuna waliobadilisha dini na yote sababu ya kupenda
Na kuna waliokimbia... hii dunia... sababu hiyohiyo kupenda
Yule alikupenda sana, ninajua na mambo mengi umefanya ilala
Best wangu nilimpendaaaa. umefanya mpaka sasa kajiua
Fikira ziko vibaya za kudhani ya kwamba yule demu nilimpenda
Ni kweli nilimpenda, lakini ni kama rafiki wa kima
Haya uliyofanya leo, ikifika kesho utajibu nini kiama
Kwa yale yote mapendo ni kama kioo aliyokupa niliyaona

Ukadhani anakusaliti kutoka kwako na kuwa mimi naye (mimi na yeye)
Kutokana na wako wivu ukadariki kumuacha ajiue
Kwanini why, unatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa
Najua mwanamke akipenda, huwa... kapenda kweli

Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run duniaaaa
Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run dunia (it's all right)

Feel free to love
Feel free to love

Mapenzi yana-run dunia
Mapenzi yana-run dunia
Dunia, dunia
Only, only love, mapenzi yana-run dunia
Feel free to love, feel free to love
Feel free to love, feel free to love
Feel free to love, feel free to love
Feel free to love, feel free to love
Feel free to love, feel free to love
Feel free to love, feel free to love
Feel free to love, feel free to love
Feel free to love, feel free to love
Feel free to love, feel free to love

На странице доступен трек Mapenzi Run Dunia от Alikiba (04:35). Слушайте онлайн или загрузите в mp3 в один клик бесплатно на свое устройство — выше есть текст песни.

Другие песни Alikiba

Свежее на Muzfrog

Все новинки →